Makaroni Ya Kiitali Ya Malai Meupe
Vipimo
Makaroni - 500 gramu (gms)
Kamba wa barafu (frozen) saizi ya katikati - 1000 gms
Malai (cream) - 170 gms
Maziwa ya chai ya kopo - 1/4 kikombe
Mafuta ya kukaangia - 1/4 kikombe
Vitunguu vilivyokatwa vidogodogo - 2
Karoti iliyokatwa ndogo ndogo - 1
Pilipili kubwa kata ndogo ndogo - 1
Figili mwitu (celery) kata ndogo ndogo - 2 miche
Brokoli (brocoli) kata vipande vipande - 1 msongo (bunch)
Nyanya iliyosagwa (au rojo ya nyanya (paste) - 1/2 kikombe
Pilipili mbuzi iliyokatwa ndogo ndogo (ukipenda) - 1
Mraba wa Maggi (maggi cubes) ya kuku au nyama - 2
Chumvi - kiasi
Pilipili manga ya unga - 1 kijiko cha supu.
Namna ya Kutayarisha na Kupika