D-Misamiati Yenye Asili Ya Lugha Ya Kiarabu

 

Misamiati Yenye Asili Ya Lugha Ya Kiarabu

Alhidaaya.com

 

D

Neno

Maana

Kiarabu

daathari

angamiza, teketeza, haribu

دثر

dabiri

1-panga, endesha jambo

2-pa mgongo; kimbia

دبر

ولوا مدبرين  

dahari

zama ndefu, mwaka mzima,

دهر

damiri

teketeza, angamiza, hilikisha, bomoa

دمر

daraja

daraja, cheo,

درجة

deraya

 

دروع

dhabihu

kichinjo, kuchinja mnyama

ذبح

dhaifu

dhaifu

ضعيف

dhalala

 

ضلال

dhihaka

mzaha, utani, masihara

ضحك

dhiki

dhiki ya nafsi, kudhikika kitu au wakati kuwa finyu.

ضيق

dhiraa

dhiraa, kipimo cha mkono

ذراعا

dhuha

wakati wa asubuhi baada ya kuchomoza jua hadi kabla kuingia Adhuhuri kwa takriban robo saa

ضحى

dhuku

onja

ذوق

dhukuru

kutaja, kukumbuka, kumdhukuru Allaah

ذكر/ يذكر/ ذكر الله

dhunubu

madhambi

ذنوب

dhuria

watoto, wazawa, vizazi

ذرية

dia

fidia, malipo ya kufidia mauaji

دية

dunia

dunia

دنيا

duru

zunguka

 

دور

zidisha

zidisha, ongeza

زد

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

Share