K-Misamiati Yenye Asili Ya Lugha Ya Kiarabu

Misamiati Yenye Asili Ya Lugha Ya Kiarabu

Alhidaaya.com

 

K[1] 

 

Neno

Maana

Kiarabu

kabiri

kubwa

 

كبير

kadamisha

 

kutanguliza,

 

قدم

kadimu

zamani, kale

كريم

kadiri

takdiri, kukadiria, kupima, kuthamini, kiasi, uwezo.

 

pia ni Jina na Sifa tukufu ya Allaah ('Azza wa Jalla) kuwa ni Mweza wa kila kitu.

قدير

kalifu

kulazimisha, kubebesha jukumu zito, kumtwika mtu jambo asiloliweza kiwepesi, kama kusema taklifu.

كلف

kalili

 

 

 قليلا

kalili

kidogo

قليلا

karaha

kuchukia

كره

karatasi

karatasi

قرطاس

karimu

1-Jina na Sifa ya Allaah ('Azza wa Jalla) Mkarimu, Mwenye ukarimu, utukufu.

 

2-ukarimu

 

kariri

kukariri

كرر

kasimu

kugawa

قسم

khabari

habari, taarifa.

خبار

khabithi

habithi, mbaya, mtu mbaya au muovu.

خبيث

khadaa

hadaa, kudanganya, kuficha yasiyokweli, kufanya khiyana

خادع

khalifa

kiongozi wa Waumini

خليفة

khalisi

yenyewe, makhsusi.

خالص

khasimu

kukhasimikiana, kugombana, kuzozana

خصم

khiana

hiana, kuficha jambo pasi na haki khasa kwa ajili ya kujirudia manufaa mwenye kufanya khiyana.

kupunja, kunyima pasi na haki

خيانة

kidhibu

kukadhibisha, kusema uongo, kukanusha

كذبوا

kitabu

kitabu, maandiko

كتاب

kufuru, kufru

kufuru, kanusha, kufru, kafiri

كفر

kurabaa

jamaa wa ukaribu wenye uhusiano wa damu

قربى

kustakiri

kutulia

قرار

kuti

chakula, rizki

قوت

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

[1] Baadhi ya maneno ya Kiswahili yanatamkwa kwa herufi ya K ingawa herufi ya Kiarabu imekuja kwa herufi ya  ق

Share