Itikadi Za Ushia Kutoka Katika Vitabu Vyao: 3 Itikadi Zao Kuhusu Allaah

 

Itikadi Za Ushia Kutoka Katika Vitabu Vyao: 3

 

Itikadi Zao Kuhusu Allaah

 

Alhidaaya.com

 

 

 

 

1. Allaah Ana sifa ya ‘Badaa.

 

Hii inamaamisha kwamba:

 

a.       Anasahau

b.       Anakosea

c.        Anapanga lakini mara nyingine mipango yake haifanikiwi

d.       Hajui nani atakayemteua kama Imam anayefuata

 

 

2. ‘Sisi (Mashia) hatumuabudu Allaah ambaye anawapa uongozi wahuni kama Yaziyd, Mu’awiyah na ‘Uthmaan’

 

 

3. Wanasema, ‘Aliy anasema……Mimi ni wa mwanzo na wa mwisho. Mimi ni wa dhahiri na aliyefichika na ni Mrithi wa hii ardhi.’

 

 

4. Mashia husema Maimamu wao ni uso wa Allaah.

 

 

5. Na macho yake katika viumbe vyake.

 

 

6. Na ulimi wake miongoni mwa viumbe vyake.

 

 

Marejeo:

 

(1.) Uswuul al Kaafi- Babul bad'aa - Al- Kaafi Juzuu - 1 –uk.283 chapa ya India.

( a.) Ibid (b.) Ibid (c.) Ibid (d.) Ibid

 

(2.) Kashful Asraar - 107 - Khomeni.

 

(3.) Rijaalul Kashhi, 138 Chapa ya India

 

(4.) Uswuul al Kaafi uk.83.

 

(5.) Ibid.

 

( 6.) Ibid.

 

 

Kalimah Mpya

(Matamshi Yao Ya Shahada)

 

1. Laa ilaaha illaahu Muhammadur Rasulullaah – 'Aliy waliyullaah, Khomeni Hujjatullaah (Hapana mwabudiwa wa haki isipokuwa Allah na Muhammad ni Mjumbe wake- Ali ni Walii wake na Khomeini ni Hoja yake).

 

 

2. Laa Illaaha Muhammadur – Rasulullah, 'Aliy waliyullah wasi Rasulullaah wa Khalifatuhu bila Faslin” ((Hapana mwabudiwa wa haki isipokuwa Allah na Muhammad ni Rasuli wake- 'Aliy ni Walii wake na Muusiwa wa Nabiy [kuwa Khalifa baada yake] na Khalifa wake bila kipingamizi).

 

 

3. Ushia umejengwa juu ya misingi mitano – Swalaah, Zakaah, Swawm, Hajj, Wilayat (Utawala)

 

 

4. Adhana ni Ash Hadu Anna 'Aliyan Waliyullah Wasii Rasulullah wa Khalifatuhu bila Faslin (Nashuhudia kwamba Ali ni Walii wa Allah na Muusiwa wa Rasuli (kuwa Khalifa baada yake) bila kipingamizi.

 

 

Marejeo:

 

(1.) Wahdat Islaami – Juni 84 uk.1- Gazeti la Serikali ya Iran la kila Mwezi

 

(2.) 'Aliy Waliyullah – Abdul Kareem Mushtaq.

 

(3.) Uswuul al Kafi.

 

(4.) Utawasikia huko Arafaat.

 

 

Uimamu

(Imani Yao Ya Uongozi Baada Ya Rasuli Swalla Allaahu 'alayhis-sallam)

 

1.   Wanaamini Maimamu 12 baada ya Rasuli wa Allaah (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) 

 

a.     Wa kwanza ni 'Aliy.

b.     Wa mwisho ni Imam wa 12 aitwae Mahdi (ambaye kajificha pangoni).

 

 

2. Wanaamini Maimamu wao ni Ma’asuum (wamelindwa na makosa na kutenda madhambi kama vile RUswuulu('Alayhis-salaam)

 

 

3. Wana uwezo wa kuifanya halali kuwa haramu na haramu kuwa halali.

 

 

4. Wanaweza kubadilisha Sheria ya Dini.

 

 

5. Wamezaliwa kutoka kwenye mapaja ya mama zao

 

 

6. Wana elimu ya Ghaibu.

 

 

7. Wanaamini kuwa Maimam wao wana daraja kubwa kuliko RUswuuli ('Alayhis Salaam) pamoja na Rasuli wa Allaah (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) 

 

 

8. Ni lazima kuamini Wilayat (Utawala wa Maimamu).

 

 

9. Kama mtu hawakubali Maimamu basi yeye ni kafiri.

 

 

Marejeo:

 

(1.) Uswuul al Kaafi.

 

(a.) Uswuul al Kaafi. (b.) Uswuul al Kaafi. 

 

(2.) Uswuul al Kafi Juzuu 1 uk.225 / Kafi – Kitaabul Hujjah.

 

(3.) Uswuul al Kafi Juzuu 1 uk.225.

 

(4.) Ibid.

 

(5.) Uswuul al Kaafi/Haqqul Yaqeen uk.126.

 

(6.) Uswuul al Kafi Juzuu 1 uku225.

 

(7.) Ibid / Al Hukumatul – Islaamiyaa – 52 Khomeni. Hayaatul Qutoob Juzuu 3,

  uk10 /Ibid Juzuu 2. uk. 787 tanbihi

 

(8.) Uswuul al Kafi Juzuu 2. uk.278.

 

 

(9.) Uswuul al Kafi Juzuu 1. uk.225.

 

 

.../4

 

 

 

 

Share