32-Adabu Za Ndoa Katika Sunnah Iliyotakasika: Kukubali Mwaliko Hata Kama Umefunga (Swawm)

 

 

Anatakiwa mtu aitikie mwaliko hata kama amefunga kutokana na kauli ya Mtume صلى الله عليه وآله وسلم:

 

((إذَا دُعِيَ أحَدُكُم فَلْيُجِبْ، فإنْ كَانَ مُفْطِراً فَلْيَطْعَمْ، وَإنْ كَانَ صَائماً فَليُصَلِّ))  ( وَالصَّلاَةُ الدُّعَاءُ)

((Anapoalikwa mmoja wenu chakula inampasa akubali. Ikiwa hakufunga basi na ale, na kama kafunga basi ashiriki katika Swalah (Du'aa) zake)) (Na Swalah ni Du’aa”)[1]

 

 

 

 



[1] Muslim, Ahmad na wengineo

Share