Tuache Kufuata Namna Ya Mwendawazimu
‘Abdun-Naaswir Hikmany
Hakika dunia ya leo imekuwa ni uwanja wa fujo, na kwa asilimia kubwa hakuna wanaadamu wala Waislamu walioshughulishwa na kutekeleza masuala ya kheri. Tunashuhudia namna tunavyoingizwa kwenye mambo ambayo ni wazi wazi yanakwenda kinyume na maadili ya Uislamu pamoja na silka za binaadamu.
Imekuwa ni ada vyombo vya juu kusimamia mambo ambayo hayana manufaa katika jamii ila tu ni yenye ladha ndogo ya
Yareti kama watasimama Waislamu wenye uchungu na Uislamu wao kwa kutoshiriki kwenye masuala haya machafu. Basi, yasingelifikia kuwa makubwa
((Mtafuata nyendo za wale waliokuja kabla yenu hatua kwa hatua mpaka itafika hadi wakiingia katika shimo la kenge, na nyinyi mtaingia pia)) Wakasema (Maswahaba): Ewe Mtume! Je, unamaanisha Mayahudi na Manaswara? Akasema: ((Hivyo nani basi mwengine?)) Al-Bukhaariy na Muslim
Matamasha haya sio lolote si chochote ila ni kulenga kuwapotezea Waislamu muda wao na maadili
Wazee na vijana wa Kiislamu, ni lazima wawe macho na matamasha
- Login or register to post comments
- Email this page
- Chapisha


