Aadam Na Hawwaa Waliteremshwa Wapi?
SW
ASALAM ALEYKUM WARAHAMATU LLAHI WABARAKATU.
SUALA LANGU NAULIZA HIVI HUYU ADAMU NA HAWA W
JIBU:
Sifa zote njema Anastahiki Allaah Aliyetukuka Mola Mlezi wa walimwengu wote, Swalah na salamu zimshukie kipenzi chetu Mtume Muhammad (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) na Swahaba zake (Radhiya Allaahu ‘anhum) na watangu wema mpaka Siku ya Mwisho.
Shukrani zetu za dhati kwa swali lako kuhusu Nabii Aadam (‘Alayhis Salaam) na mkewe Hawwaa. Mwanzo tungependa kukufahamisha kuwa mas-ala mengine hayakubainishwa katika Dini yetu. Kutobainishwa kwake ni maslahi kwetu kwani Allaah Aliyetukuka Hakuona umuhimu wowote juu ya suala
Kujua alikuwa kabila gani au aliteremshwa wapi haitatuongezea sisi Imani yetu. Kwa minajili hiyo, Allaah Aliyetukuka Akatuarifu kuwa Alimuumba Aadam kutokana na mchanganyiko wa udongo na maji na Hawwaa akaumbwa kutoka kwake (yaani bila ya kuwa na mama). Kwa hivyo, hatakuwa na kabila ambalo linafahamika.
Ama sehemu aliyoteremshwa anayoijua ni Allaah Aliyetukuka tu. Panasemwa ya kwamba aliteremshwa Kashmir lakini hakuna dalili ya
Na Allaah Anajua zaidi
- Login or register to post comments
- Email this page
- Chapisha


