Chemsha Bongo Ya Ramadhaan 6
»
- Login or register to post comments
- Email this page
- Chapisha
|
|
User loginPokea Makala |
Chemsha Bongo Ya Ramadhaan 6»
|
YanayohusianaFeature
Kikokotoo (Calculator) Cha ZakkahZingatio La WikiDunia Si Chochote Si LoloteWakati unayoyoma na hakuna awezaye kuuzuia usiende. Hakuna tofauti nyengine baina yetu na wale waliotangulia mbele ya haki ila ni wakati tu. Hakika wakati ndio unaomfanya mtu kuwa mtoto, kijana au kizee. Haukuwepo wakati na hii ni Neema Zake Muumba. Ni wakati huu ndio unaoufanya mchana ukaondoka kwa kuupisha usiku. |
|
|
Alhamdulillah kwa kazi nzuri
Alhamdulillah kwa kazi nzuri Allah akujazieni mizani zenu siku ya Qiyama aamin tunataka chemsha bongo zaidi tafadhalini.
Asalam aleykum ndugu
Asalam aleykum ndugu waislam.Kwanza namshuku M/Mungu kwa kuniwezesha kunifikia kheri nyingi kutoka kwenu na mimeweza kujifunza mengi sana pia naomba Mola awazidishie imani zenu na jitihada zenu ili mupate daraja kubwa mbele ya Mola wetu kesho akhera amin.Ningependa kuomba kwa kutuletea chemsha bongo kwa wingi ili tupate kukuza elimu zetu na zawatoto wetu INSHA'AllAH