Kuchukua Mkopo Katika Benki Za Riba Ikiwa Hakuna Benki Za Kiislamu Inafaa?
SWALI LA
MIMI NAISHI SKANDINAVIA NINA SWALI. KUHUSU RIBA NI HIVI HUKU SKANDINAVI BENKI ZA HUKU HUKOPA WATU PESA KAMA 3000 ALAFU WANATAKA URUDISHE 3300 SASA. HII PIA UKIKOPA NI RIBA HATA KAMA UNAMATATIZO. HUNA ELA HAKUNA MTU WA KUKUKOPA. UKIKOPA HAPO BENKI NI HARAM.
SWALI LA PILI:
Asalam aleykum mi nauliza
JIBU:
Sifa zote njema Anastahiki Allaah Aliyetukuka Mola Mlezi wa walimwengu wote, Swalah na salamu zimshukie kipenzi chetu Mtume Muhammad (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) na Swahaba zake (Radhiya Allaahu 'anhum) na watangu wema mpaka Siku ya Mwisho.
Shukrani zetu za dhati kwa swali lako kuhusu kuchukua mkopo wa riba. Mkopo wowote unaokopa na kulipa juu yake ziada ni riba kisheria na haifai kwa Muislamu kuchukua mkopo aina hiyo. Nchi za
Hata hivyo, sheria ya Kiislamu inamuangalia kila mmoja na tatizo alilo nalo. Ikiwa hali yenyewe ya
Lakini haya matatizo tuliyo nayo
Wengi wanaochukua mkopo wa benki si wenye kuwa na shida ya uhai na kifo, huchukua kwa mahitaji yao ya ziada ya kilimwengu kama tulivyoona hapo kuhusu kuchukua gari kwa mkopo na kulipa riba, au kuchukua nyumba za za mkopo kwa kulipa kidogo kidogo kwa miaka mingi ambazo ni mogeji (mortgage) na mahitaji mengineyo ya zaida ya kidunia.
Kwa hiyo, mikopo yoyote ya aina hiyo haifai kabisa kisheria. Na tumuogope
Hakika ni kuwa Allaah Aliyetukuka Ametangaza vita na yeyote anayechukua riba pale Aliposema:
“Enyi mlioamini! Mcheni Allaah, na acheni riba zilizobakia, ikiwa nyinyi ni Waumini. Basi mkitofanya jitangazieni vita na Allaah na Mtume wake. Na mkitubu, basi haki yenu ni rasilmali zenu. Msidhulumu wala msidhulumiwe” (Al-Baqarah: 278-279).
Na Allaah Anajua zaidi
- Login or register to post comments
- Email this page
- Chapisha
