|
|
User loginPokea Makala |
SAALIM BAARAHIYAAN - Je, Muislam Anapaswa Kufuata Madhehebu? |
Feature
Kikokotoo (Calculator) Cha ZakkahZingatio La WikiDunia Si Chochote Si LoloteWakati unayoyoma na hakuna awezaye kuuzuia usiende. Hakuna tofauti nyengine baina yetu na wale waliotangulia mbele ya haki ila ni wakati tu. Hakika wakati ndio unaomfanya mtu kuwa mtoto, kijana au kizee. Haukuwepo wakati na hii ni Neema Zake Muumba. Ni wakati huu ndio unaoufanya mchana ukaondoka kwa kuupisha usiku. |
|
|