Kuna Du’aa Maalumu Ya Swalaah ya Dhwuhaa?

Kuna Duaa Maalumu Ya Swalaah ya Dhwuhaa

 

www.alhidaaya.com

 

 

SWALI:

 

ASALAM ALAYKUM,

SWALI NI HIVI, KWENYE SWALA YA DHUHA KUNA DUA MAALUM INAYOTAKIWA ISOMWE? NAOMBA MSAADA WENU.

 

JIBU:

 

 بسم الله، والحمد لله، والصلاة والسلام على أشرف الأنبياء والمرسلين نبينا محمد صلى الله عليه وآله وسلم وعلى آله وصحبه ومن اهتدى بهداه

 

Hakuna Du’aa maalumu katika Swalaah hii, bali unaweza kuomba baada ya kuimaliza Du’aa zozote upendazo mwenyewe.

 

Bonyeza kiungo kifuatacho upate maelezo zaidi kuhusu Swalaah hiyo:

 

Swalaah Ya Adhw-Dhwuhaa: Idadi Ya Rakaa Zake, Wakati Wake Na Fadhila Zake

 

Na Allaah Anajua zaidi

 

Share