Imaam Ibn ‘Uthaymiyn: Wajibu Wa Kumkirimu Mwalimu Wako

 

 Wajibu Wa Kumkirimu Mwalimu Wako

 

Imaam Ibn 'Uthaymiyn (Rahimahu Allaah)

 

Alhidaaya.com

 

 

 

Aliulizwa mmoja katika waliotangulia:
"Kwanini unamkirimu Mwalimu wako kuliko unavyomkirimu au kushinda ukarimu kwa baba yako?

Akajibu:

Hakika Baba yangu ni sababu ya maisha yangu haya yenye kwisha (Dunia)!

Na Mwalimu wangu ni sababu ya maisha yangu yaliyobakia (Aakhirah)."

Maneno ya busara na ya hali halisi mfano wa haya, aliyasema vilevile Mwanachuoni,  Ibn 'Uthaymiyn (Rahimahu-Allaah).

 

 

 

 

 

Share