Hasaan bin ‘Atwiyyah: Watu Wanapozusha Katika Dini Allaah Huwaoondoshea Sunnah Zao Mfano Wake

Watu Wanapozusha Katika Dini Allaah Huwaoondoshea Sunnah Zao Mfano Wake   

  

Hasaan bin ‘Atwiyyah   (Rahimahu Allaah)

 

www.alhidaaya.com

 

 

“Watu hawazushi bid’ah katika Dini yao isipokuwa Allaah Huwanyakulia katika Sunnah zao mfano wake, kisha Hawarudishii mpaka Siku ya Qiyaamah.”

 

 

[Sharh Uswuwl I’tiqaad Ahlis-Sunnah (1/93)]

 

 

Share