Shaykh Muqbil Al-Waadi’iy: Usalafi Si Joho Unapojisikia Kulivua Unalivua

Usalafi Si Joho Unapojisikia Kulivua Unalivua

 

Shaykh Muqbil Al-Waadi’iy (Rahimahu Allaah)

 

www.alhidaaya.com

 

 

“Na Usalafi si joho linalovaliwa na mtu, na anapotaka kulivua hulivua.

Bali (Usalafi) ni kulazimiana na Kitabu cha Allaah na Sunnah za Rasuli wa Allaah (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) kwa ufahamu wa Salafus-Swaalih (Wema Waliotangulia).”

 

 

[Tuhfatu Al-Mujiyb ‘Alaa As-ilati Al-Hadhwir Wal Ghaariyb]

 

 

Share