063-Du'aa Za Nabiy (صلى الله عليه وآله وسلم): Kuomba Kinga Dhidi Ya Jirani Muovu

 

Du’aa Za Nabiy (صلى الله عليه وآله وسلم)

 

Kuomba Kinga Dhidi Ya Jirani Muovu

 

 Alhidaaya.com

 

  

063- Ee Allaah, hakika mimi najikinga Kwako jirani muovu katika…

 

اللَّهُمَّ إِنِّي أَعُوذُ بِكَ مِنْ جَارِ السَّوْءِ فِي دَارِ الْمُقَامِ فَإِنَّ جَارَ الْبَادِيَةِ يَتَحَوَّلُ

 

Allaahumma inniy a’uwdhu bika min jaaris-saw-i fiy daaril-muqaami fainna jaaral-baadiyati yatahawwalu.

 

Ee Allaah, hakika mimi najikinga Kwako na jirani muovu katika makazi ya kudumu kwani jirani wa jangwani hubadilika badilika kuhama.

 

[An-Nasaaiy kwa usimulizi ((Jikingeni na jirani muovu…)), As-Silsilatu Asw-Swahiyhah (3943), Swahiyh Al-Jaami’ (2967)]

 

Ufafanuzi: Makazi ya kudumu: Makazi ya kuthibitika hayabadiliki; watu hubakia hawaondoki kuhama kuhama.

 

 

Share