072-Du'aa Za Nabiy (صلى الله عليه وآله وسلم): Hasbuna Allaahu Wa Ni'mal-Wakiyl: Allaah Anatutosheleza Mzuri Alioje Mdhamini...

Du’aa Za Nabiy (صلى الله عليه وآله وسلم)

 

Hasbuna Allaah Wa Ni'mal-Wakiyl

Allaah Anatutosheleza Na Mzuri Alioje Mdhamini Anayetegemmewa Kwa Yote

 

 Alhidaaya.com

 

  

 

 

حَسْبُنَا اللَّهُ وَنِعْمَ الْوَكِيلُ

Hasbuna-Allaahu wa Ni’-mal-Wakiyl

 

Allaah Anatutosheleza, Na Mzuri Alioje Mdhamini Anayetegemewa kwa yote

 

[Al-Bukhaariy  kutoka kwa Ibn ‘Abaas: “Ameisema Ibraahiym  ('Alayhis-Salaam) alipotupwa Motoni na ameisema Muhammad (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam)  waliposema (Suwrat A’Imraan 3: 173) “Hasbuna-Allaah! (Allaah Anatutosheleza) Na Mzuri Alioje Mdhamini Anayetegemewa kwa yote.”

 

 

Share