10-Shaykh Al-Ghudayaan: Swawm Na Mazoezi Ya Kiaskari Katika Ramadhwaan

Swawm Na Mazoezi Ya Kiaskari Katika Ramadhwaan

 

Shaykh Al-Ghudayaan

 

www.alhidaaya.com

 

 
SWALI: 

Najua kuwa kupigana katika Ramadhwaan haijuzu. Je, hili linahusu pia mazoezi ya Kiaskari (mazoezi ya ngumi n.k.)? 

 

JIBU:

 

Hapana! Mazoezi ya kiaskari hakuna tatizo. 

Share