21-Imaam Ibn ‘Uthaymiyn: Je, Inafaa Kuzifanya Swiyaam Za Sitta Shawaal Kuwa Ni Kulipa Deni La Ramadhwaan?

Je, Inafaa Kuzifanya Swiyaam Za Sitta Shawaal Kuwa Ni Kulipa Deni La Ramadhwaan?

 

Imaam Ibn ‘Uthaymiyn (Rahimahu Allaah)

 

www.alhidaaya.com

 

 

Imaam Ibn ‘Uthaymiyn (Rahimahu Allaah) amesema:

 

"Swiyaam za Sitta Shawwaal hazifai kufanywa ni deni la Ramadhwaan kwa sababu siku sita hizo zinafutilia baada ya Ramadhwaan, zinafanana na Swalaah za Sunnah za Raatibah (zile Sunnah za Qabliyyah na Ba'diyyah) katika Swalaah za fardhi."

 

 

[Fataawaa Nuwr ‘Alad-Darb (175)

 

 

Share