Imaam As-Sa'dy: Jambo Tukufu Kabisa Ni 'Ilmu Ya Tawhiyd

Jambo Tukufu Kabisa Ni 'Ilmu Ya Tawhiyd

 

Imaam As-Sa’diy (Rahimahu Allaah)

 

www.alhidaaya.com

 

 

Allaah (Subhaanahu wa Ta'aalaa) Anasema:

 

شَهِدَ اللَّـهُ أَنَّهُ لَا إِلَـٰهَ إِلَّا هُوَ وَالْمَلَائِكَةُ وَأُولُو الْعِلْمِ قَائِمًا بِالْقِسْطِ ۚ لَا إِلَـٰهَ إِلَّا هُوَ الْعَزِيزُ الْحَكِيمُ ﴿١٨﴾

18. Allaah Ameshuhudia kwamba hapana Muabudiwa wa haki ila Yeye; na (pia) Malaika na wenye elimu (kwamba Allaah) ni Mwenye kusimamisha (uumbaji Wake) kwa uadilifu. Hapana Muabudiwa wa haki ila Yeye Mwenye enzi ya nguvu Asiyeshindika, Mwenye hikmah wa yote. [Aal-‘Imraan: 18]

 

Kutokana na dalili hii, ndio ikawa jambo tukufu kabisa ni 'ilmu ya Tawhiyd kwa sababu Allaah (Subhaanahu wa Ta'aalaa) Ameshuhudia kwa Nafsi Yake na Akawashuhudisha viumbe Vyake makhsusi.

 

 

[Tafsiyr Al-Kariym Ar-Rahmaan (1/124)]

 

 

Share