Imaam Muqbil Al-Waadi'y: Allaah Humnyanyua Mtu Kwa Kadiri Ya Kushikamana Kwake Sunnah

Allaah Humnyanyua Mtu Kwa Kadiri Ya Kushikamana Kwake Sunnah

 

Imaam Muqbil Al-Waadi’y (Rahimahu Allaah)

 

www.alhidaaya.com

 

 

Imenipendekeza neno la Shaykh Al-Islaam Ibn Taymiyyah (Rahimahu Allaah) alivyosema:

 

“Hakika Allaah Humnyanyua mtu kwa kadiri ya kushikamana kwake na Sunnah ya Rasuli wa Allaah (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam).

 

 

[Tuhfat Al-Mujiyb (339)]

 

Share