Imaam Qataadah: Ahlul-Baatwil Wanakhitilafiana Lakini Wanaungana Kuwafanyia Uadui Ahlul-Haqq

Ahlul-Baatwil Wanakhitilafiana Lakini Wanaungana Kuwafanyia Uadui Ahlul-Haqq

 

Imaam Qataadah (Rahimahu Allaah)

 

www.alhidaaya.com

 

 

Imaam Qataadah (Rahimahu Allaah) amesema:

 

“Utakuta Ahمuli-Baatwil (Watu wa Baatwil) wanakhitilafiana ushahidi wao, na hawaa (matamanio) yao, na ‘amali zao, lakini wanajumuika (wanaungana) katika kuwafanyia uadui Ahlul-Haqq (Watu wa Haqq).”

 

 

[Tafsiyr Atw-Twabariy (23/292)]

 

 

*Kama ambavyo tunavyoona leo hii wanavyoungana Maibaadhi (Khawaarij) Na Mashia (Raafidhwah) kuwapiga vita Ahlus-Sunnah Wal-Jamaa'ah (Salafi).

 

 

Share