Imaam Muqbil Al-Waadi’iyy: Hakuna Anayehujumu Ahlus-Sunnah Isipokuwa Anaporomoka Tu!

Hakuna Anayehujumu Ahlus-Sunnah Isipokuwa Anaporomoka Tu!

 

Imaam Muqbil Al-Waadi’iy (Rahimahu Allaah)

 

www.alhidaaya.com

 

 

Imaam Muqbil Al-Waadi’iyy (Rahimahu Allaah) amesema:

 

“Hakuna yeyote yule anayehujumu Ahlus-Sunnah (Watu wa Sunnah) isipokuwa anaporomoka tu.”

 

 

[Tuhfatu Al-Mujiyb (Uk. 369)]

 

 

*Kama ambavyo hakuna shaka yoyote kuwa makundi yote potofu kama Mashia (Raafidhwah), Maibaadhi (Khawaarij) yatakasambaratika pamoja na kutumia nguvu nyingi kwenye mitandao ya kijamii na mali nyingi katika kueneza sumu zao kuwahujumu Ahlus-Sunnah Wal-Jamaa'ah (Salafi).

 

 

Share