Maandazi Ya Kusuka Ya Kunyunyuzia Sukari
Vipimo
Unga mweupe – vikombe 6
Sukari – vijiko 2 vya kulia
Hamira ya instant vijiko 2 vya kulia
Samli – kijiko 1 cha kulia
Mtindi – vijiko 2 vya kulia
Tui la nazi 2 ½ vikombe takriban
Hiliki – 1 kijiko cha chai
Namna Ya Kutayarisha Na Kupika
Bis-swihhah wal-hanaa (kula kwa siha na kufurahika)
Kidokezo:
Ukipenda tumia karameli zifuatazo:
Utengenezaji Wa Caramel Au Tofi Kwa Maziwa Mazito