073-Hiswnul-Muslim: Du’aa Ya Kumuombea Uliye Futuru Kwake

Hiswnul-Muslim

073-Du’aa Ya Kumuombea Uliye Futuru Kwake

www.alhidaaya.com

 

 

Bonyeza Hapa Usikilize

 

 

[184]

أَفْطَـرَ عِنْدَكُم الصّـائِمونَ وَأَكَلَ طَعامَـكُمُ الأبْـرار، وَصَلَّـتْ عَلَـيْكُمُ الملائِكَـة

 

Aftwara ‘indakumu asw-swaaimuwna wa akala twa’aamakum al-abraar,  wa Swallat ‘alaykumul Malaaikah

 

Wafuturu kwenu waliofunga (Swawm) na wale chakula chenu watu wema, na wawaombee Rehma Malaika[1]

 

 

 

 

 

[1]Hadiyth ya Anas bin Maalik (رضي الله عنه)  - Sunan Abi Daawuwd (3/367) [3854], Ibn Maajah (1/556) [1747], An-Nasaaiy katika kitabu chake; ‘Amal Al-Yawm wal-Laylah (296-298), na ameisahihisha Al-Albaaniy (رحمه الله) katika Swahiyh Abi Daawuwd (2/730).  Imetaja katika riwaayah: “Rasuli wa Allaah (صلى الله عليه وسلم) alikuwa akisema hivyo anapofuturu kwa watu wa nyumbani kwake”.  

 

 

Share