Spageti Ya Kuku Na Sosi Za HP Na Soya
Vipimo
Spaghetti - 500 gramu (gms)
Chumvi - Kiasi
Mafuta ya kukaangia - 1/4 kikombe
Kitungu kilichokatwa - 1 kiasi
Pilipili ya unga - 1/2 kijiko cha chai
Kitunguu saumu(thomu/galic) iliyosagwa - 1 kijiko cha chai
Sosi ya pilipili (HP sauce) - 1 kijiko cha chai
Siki - 3 Vijiko vya supu
Sosi ya soy - 3 vijiko vya supu
Pilipili mboga kijani na nyekundu - 1 kila moja (iliyokatwa)
Mchanganyiko wa mboga za barafu - 1 magi
Kuku au nyama isio na mifupa iliyokwishapikwa kiasi upendavyo
Namna ya Kutayarisha na Kupika
Links
[1] https://www.alhidaaya.com/sw/taxonomy/term/84
[2] https://www.addtoany.com/share#url=https%3A%2F%2Fwww.alhidaaya.com%2Fsw%2Fnode%2F1011&title=Spageti%20Ya%20Kuku%20Na%20Sosi%20Za%20HP%20Na%20Soya