Maandazi Ya Kukandiwa Kwa Tui La Nazi
Vipimo
Unga - 5 Vikombe
Tui la Nazi zito vugu vugu - 1 ¼ kikombe
Sukari - 3/4 kikombe cha chai
Samli iliyoyayushwa au mafuta - 3 vijiko vya Supu
Hamirah - 2 Vijiko vya Supu
Hiliki - 1/2 Kijiko cha chai
Mafuta ya kukaangia
Namna Ya Kutayarisha Na Kupika
*Ukipenda maandazi manene fanya madonge 12. Ukipenda mepesi fanya madonge 15
6. Madonge yakifura, sukuma kama chapati kisha ukate mara nne kama kwenye picha. Endelea kufanya hivyo na madonge yote. Yawache maandazi yafure tena baada ya kukata kama dakika 15 takriban
7. Pasha mafuta moto kwenye karai. Maandazi yako tayari kukaangwa sasa.
8. Kaanga maandazi kwenye mafuta ya moto. Upande mmoja ukifura na kuwa rangi nzuri geuza upande wa pili. Endelea nama hii mpaka maandazi yote yawe tayari.
Jinsi Ya Kuhifadhi Maandazi
Links
[1] https://www.alhidaaya.com/sw/taxonomy/term/105
[2] https://www.addtoany.com/share#url=https%3A%2F%2Fwww.alhidaaya.com%2Fsw%2Fnode%2F1032&title=Maandazi%20Ya%20Kukandiwa%20Kwa%20Tui%20La%20Nazi%20Na%20Jinsi%20Ya%20Kuyahifadhi