Kababu Za Kuchoma Na Vitunguu, Pilipili Tamu, Nyanya
Vipimo
Nyama ya kusaga (Beef Regular) - 2LB
Vitu Vya Kuchanganya na nyama
Tangawizi na kitunguu saumu/thomu iliyosagwa - 1 Kijiko cha soup
Chumvi - kisia
Kiitunguu maji kilichosagwa (Crushed) - 1 Kikubwa
Yai - 1
Chenga za Mkate (bread crumbs) - 1 Kikombe
Kotmiri iliyokatwa ndogo ndogo - 1 Kikombe
Parsely iliyokatwa ndogo ndogo - 1 Kikombe
Pili pili manga ya powder - 2 Vijiko vya chai
Bizari ya pilau ya powder (cummin) - 2 Vijiko vya chai
Mafuta (ya kunyunyizia baada ya kupanga kababu) - ¼ cup
Ni bora mafuta ya zaytuun (olive oil)
Saladi ya kumwagia karibu na kababu kuwiva (tayarisha kwa kukata na kuweka kando kama ilivyo katika picha )
Vitunguu - 2
Pilipili kubwa (Capsicum) - 2
Nyanya - 2
Namna Ya Kutayarisha Na Kupika
Unaweza kutolea na mkate au wali kama huu:
Wali Wake:
Mchele Basmati (osha na kuroweka ) - 3 Vikombe
Kitunguu kilichokatwa (chopped) - 1 medium
Tomato iliokatwa ndogo ndogo (chopped) - 1 medium
Mafuta - 2 kijiko cha soup
Kitunguu saumu/thomu (iliyosagwa) - 1 Kijiko cha Soup
Mdalasini mzima - 1 kijiti
Hiliki - 2 chembe
Karafuu 5 – 7 chembe
Chumvi -Kisia
Bizari ya manjano (Haldi) - ½ kijiko cha chai
Maji ya kupikia wali - 5-6 vikombe
Mraba wa supu ya nyama - vidonge 2 (au supu yenyewe kiasi kidogo tu cha kutia ladha lakini hakikisha supu isizidishe kipimo kwa kupunguza maji)
Namna Ya Kupika Wali
Links
[1] https://www.alhidaaya.com/sw/taxonomy/term/107
[2] https://www.addtoany.com/share#url=https%3A%2F%2Fwww.alhidaaya.com%2Fsw%2Fnode%2F1036&title=Kababu%20Za%20Kuchoma%20Na%20Vitunguu%2C%20Pilipili%20Tamu%2C%20Nyanya