Kuku Wa Kuchoma Katika Makaa (B.B.Q)
Vipimo
Kuku - 10 Ratili (LB)
Kitunguu saumu/thomu na tangawizi - 3 vijiko vya supu
Chumvi - Kiasi
Bizari mchanganyiko (garam masala) - 2 vijiko vya supu
Masala ya Tanduri - 2 vijiko vya supu
Pilipili mbichi iliyosagwa - 1 Kijiko cha supu
Ukwaju - 1/2 kikombe
Siki - 3 Vijiko vya supu
Mafuta - 1 Vijiko vya supu
Namna Ya Kutayarisha Na Kupika
Kidokezo : Tolea na saladi ya karoti na ukwaju (Tazama katika saladi)
Links
[1] https://www.alhidaaya.com/sw/taxonomy/term/107
[2] https://www.addtoany.com/share#url=https%3A%2F%2Fwww.alhidaaya.com%2Fsw%2Fnode%2F1056&title=Kuku%20Wa%20Kuchoma%20Katika%20Makaa%20%28B.B.Q%29