Mbaazi Kwa Maandazi
Vipimo
Mbaazi za kopo (pigeon peas) - 40 fl oz (vikopo viwili) (Vikombe vitatu)
Ikiwa mbaazi kavu - 3 Vikombe
Tui la nazi zito - 1 Kikombe
Kitunguu - 1
Chumvi - kiasi
Pilipili mbichi - 2
Namna Ya Kutayarisha Na Kupika
Upishi wa Maandazi unapatikana katika kiungo kifuatacho:
Maandazi -1 [2]
Links
[1] https://www.alhidaaya.com/sw/taxonomy/term/268
[2] http://alhidaaya.com/sw/node/1032
[3] https://www.addtoany.com/share#url=https%3A%2F%2Fwww.alhidaaya.com%2Fsw%2Fnode%2F1067&title=Mbaazi%20%20Kwa%20Maandazi