Kaimati Za Shira Ya Tende
Vipimo
Unga - 2 vikombe
Hamira - 1 Kijiko cha chai
Samli imoto - 2 Kijiko vya Supu
Maziwa au Tui la nazi - 1 ½ Kikombe cha chai (inategemea kikombe)
Mafuta ya kukaangia - Kiasi
Shira ya Tende(Ya Tayari) - Kiasi
Namna ya kutayarisha na kupika
Kidokezo: Unaweza kutumia shira ya kawaida ukipenda badala ya tende
Links
[1] https://www.alhidaaya.com/sw/taxonomy/term/185
[2] https://www.addtoany.com/share#url=https%3A%2F%2Fwww.alhidaaya.com%2Fsw%2Fnode%2F1075&title=Kaimati%20Za%20Shira%20Ya%20Tende