SWALI:
Sheikh ni nini hukum ya kijana wa kiisilamu ambaye ameacha kuo ili hali anasifa zote za kuoa halafu akapatwa na mauti bila kuoa
JIBU:
Sifa zote njema Anastahiki Allaah Aliyetukuka Mola Mlezi wa walimwengu wote, Swalah na salamu zimshukie kipenzi chetu Mtume Muhammad (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) na Swahaba zake (Radhiya Allaahu ‘anhum) na watangu wema mpaka Siku ya Mwisho.
Shukrani zetu za dhati kwa swali lako. Hakika wanachuooni wameigawa ndoa kwa sampuli zifuatazo:
Hakika ni kuwa wapo wanachuoni wakubwa
Kwa hiyo, kijana huyo hana makosa yoyote bali ingekuwa bora kwake
Inaonekana unamjua vilivyo huyo kijana lakini wakati mwingine unaweza kumuona kijana
Inafaa tuwahimize vijana pamoja na kuwasaidia ili watekeleze Sunnah hii muhimu
Na Allaah Anajua zaidi
Links
[1] https://www.alhidaaya.com/sw/taxonomy/term/56
[2] https://www.addtoany.com/share#url=https%3A%2F%2Fwww.alhidaaya.com%2Fsw%2Fnode%2F2546&title=Mwanamume%20Aliye%20Na%20Uwezo%20Wa%20Kuoa%20Na%20Hakuoa%20Hadi%20Amefariki%20Nini%20Hukmu%20Yake%3F