Vikeki Vidogo Vya Mviringo (Muffins) Vya Tende Na Lozi
Vipimo:
Unga - 2 ½ vikombe
Sukari - 1 kikombe
Chumvi - 1 kijiko cha chai
Mdalasini wa unga - 1 kijiko cha chai
Baking Powder - 3 vijiko vya chai
Vanilla - 1 kijiko cha chai
Mayai - 3
Siagi laini - 350 gm
Maziwa mazito (condensed milk) - 1 kikopo
Maziwa ya maji - 1 ½ kikombe
Tende iliyokatwakatwa - 1 ½ kikombe
Lozi zilizomenywa na kukatwakatwa slesi - ½ kikombe
Namna Ya Kutayarisha Na Kupika
Kidokezo:
Unaweza kufanya nusu za lozi pekee
Unaweza kutia chokoleti badala ya tende
Links
[1] https://www.alhidaaya.com/sw/taxonomy/term/106
[2] https://www.addtoany.com/share#url=https%3A%2F%2Fwww.alhidaaya.com%2Fsw%2Fnode%2F2585&title=Vikeki%20Vidogo%20Vya%20Mviringo%20%28Muffins%29%20Vya%20Tende%20Na%20Lozi%20