Kuku Wa Sosi Ya Nyanya Na Dania
Vipimo
Mafuta - 4 vijiko vya supu
Kuku - 3 LB
Kitunguu saumu(thomu) na tangawizi iliyosagwa -1 kijiko cha supu
Dania ya unga - 2 vijiko vya supu
Chumvi - kiasi
Pilipili nyekundu ya unga - 1 kijiko cha chai
Bizari ya manjano - 1 kijiko cha chai
Uzile (Bizari ya pilau ya unga/cummin powder ) - 1 kijiko cha chai
Garam masala - ½ kijiko cha chai
Pilipili mbichi iliyokatwakatwa - 1 au 2
Ndimu - 1 kijiko cha supu
Nyanya ya kopo - 1 kijiko cha supu
Kotmiri - 2 Vijiko vya supu
Namna Ya Kutayarisha Na Kupika
Kidokezo :
Nzuri kula na wali kama au mkate au upendavyo.
Links
[1] https://www.alhidaaya.com/sw/taxonomy/term/107
[2] https://www.addtoany.com/share#url=https%3A%2F%2Fwww.alhidaaya.com%2Fsw%2Fnode%2F3404&title=Kuku%20Wa%20Sosi%20Ya%20Nyanya%20Na%20Dania