Maharage Ya Sosi Ya Mchuzi Na Nazi
Vipimo
Maharage - 3 Vikombe
Tui la nazi zito - 1½ kikombe
Kitunguu - 1 kikubwa
Nyanya - 2 au tatu
Kitunguu saumu (thomu/galic) iliyosagwa - 1 kijiko cha supu
Bizari ya mchuzi - 1 kijiko cha chai
Bizari ya manjano - robo kijiko
Pilipili mbichi - 3
Chumvi - Kiasi
Namna Ya Kutayarisha Na Kupika
Bis-swihhah wal-hanaa (kula kwa siha na kufurahika)
Links
[1] https://www.alhidaaya.com/sw/taxonomy/term/85
[2] https://www.addtoany.com/share#url=https%3A%2F%2Fwww.alhidaaya.com%2Fsw%2Fnode%2F3822&title=Maharage%20Ya%20Sosi%20Ya%20Mchuzi%20Na%20Nazi%20