Daal (Dengu) Za Nazi Na Viazi
Vipimo:
Dengu zilopasuliwa - 2 vikombe
Viazi - 3
Kitunguu - 1
Nyanya - 1
Pilipili mbichi na thomu iliyosagwa - 1 kijiko cha chai
Methi (uwatu) uliosagwa - 1/2 kijiko cha chai
Majani ya mchuzi (curry leaves) - kiasi 5
Haldi (bizari ya manjano) - 1/2 kijiko cha chai
Kotmiri iliyokatwa katwa - 1 Msongo (bunch)
Ndimu - 1
Chumvi - kiasi
Tui la nazi - 1 kikombe
Mafuta - 3 vijiko vya supu
Namna Ya Kutayarisha Na Kupika
Links
[1] https://www.alhidaaya.com/sw/taxonomy/term/85
[2] https://www.addtoany.com/share#url=https%3A%2F%2Fwww.alhidaaya.com%2Fsw%2Fnode%2F4100&title=Daal%20%28Dengu%29%20%20Za%20Nazi%20Na%20Viazi%20