SWALI:
Asalam alaykum Warahmatullahi Taala Wabarakatu.
Swali langu ni
JIBU:
Sifa zote njema Anastahiki Allaah Aliyetukuka Mola Mlezi wa walimwengu wote, Swalah na salamu zimshukie kipenzi chetu Mtume Muhammad (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) na Swahaba zake (Radhiya Allaahu ‘anhum) na watangu wema mpaka Siku ya Mwisho.
Shukrani zetu za dhati kwa swali lako kuhusu kuchukua mkopo kutoka katika shirika ufanyalo kazi.
Hakika ni kuwa ndugu yetu umetueleza mengi kuhusu mapatano na usaidizi wa kuchukua mkopo na utakiwayo kufanya lakini hukutueleza kuhusu aina ya mkopo wenyewe. Ibara hiyo ya awali inamaanisha kuwa je, mkopo wenyewe ni wa ribaa au utapatiwa bila ya kulipa ribaa? Ikiwa mkopo wenyewe ni wa kutoa ribaa unapolipa utakuwa hufai kuchukua mkopo
Ama ikiwa mkopo wenyewe ni bila ya ribaa inatakiwa utazame maslahi utakayopata katika kutekeleza masharti na hasara yake. Kwa mfano, katika masharti labda waliyotaka ni kuwa gari
Nadhani itakuwa tumefahamika vizuri
Na Allaah Anajua
Links
[1] https://www.alhidaaya.com/sw/taxonomy/term/103
[2] https://www.addtoany.com/share#url=https%3A%2F%2Fwww.alhidaaya.com%2Fsw%2Fnode%2F4169&title=Kuchukua%20Mkopo%20Wa%20Gari%20Katika%20Shirika%20Nifanyalo%3B%20Wameniwekea%20Masharti%20Kutumia%20Gari%20Inafaa%20Mkopo%20Wao%3F%20%20