SWALI:
Asalam aleikum warahmatullahi wa barakatu.
Napenda kuwashukuru ndugu zangu wa alhidaaya kwa kazi yenu kubwa mnayoifanya inshaallah Allah atawalipa.
Napenda kuuliza swali langu kuhusu ugawaji wa urithi. Baba yetu amefariki miaka mingi nyuma. Na ameacha
Tutashukuru kwa Ufafanuzi wenu. Ahsanteni.
JIBU:
Sifa zote njema Anastahiki Allaah Aliyetukuka Mola Mlezi wa walimwengu wote, Swalah na salamu zimshukie kipenzi chetu Mtume Muhammad (Swalla Allaahu ‘Alayhi wa aalihi wa sallam) na Swahaba zake (Radhiya Allaahu ‘anhum) na watangu wema mpaka Siku ya Mwisho.
Shukrani zetu za dhati kwa swali lako kuhusu sehemu ya mirathi ya ndugu yenu ambaye ana upungufu wa akili. Ama kuhusu
Kwa hiyo, mnachohitajika ni kuyatunza
Ni maombi yetu kwa Allaah Aliyetukuka Ampatie ponyo na arudi
Na Allaah Anajua zaidi.
Links
[1] https://www.alhidaaya.com/sw/taxonomy/term/34
[2] https://www.addtoany.com/share#url=https%3A%2F%2Fwww.alhidaaya.com%2Fsw%2Fnode%2F4591&title=Vipi%20Kugawa%20Urithi%20Kwa%20ndugu%20Au%20Mtoto%20Aliye%20Mgonjwa%20Wa%20Akili%3F