SWALI:
AsALAMU ALAYKUM
Mimi naitwa ……………………. Natokea
ombi langu ni kutaka kujua kama ni mimi ni mfanya kazi lakini kutokana na kazi nnayoifanaya mahitaji yangu binafsi kutokana na kiwango cha mshahara haukidhi ila nimeamua kufanya biashara ya ili pesa zanzu zikizi mahitajio yangu kwa hiyo naomba msaada wenu nifanyeje ili mungu na amimi aniinue kiuchumi ili nikidhi mimi na family fangu pia nisiweze kumshirikisha na jambo lolote lile lililo baya Sina la Ziada ila hayo tu ASALAMU ALAYKU WARAH-MATULLAHI WABARAKATU
JIBU:
Sifa zote njema Anastahiki Allaah Aliyetukuka Mola Mlezi wa walimwengu wote, Swalah na salamu zimshukie kipenzi chetu Mtume Muhammad (Swalla Allaahu ‘Alayhi wa aalihi wa sallam) na Swahaba zake (Radhiya Allaahu ‘anhum) na watangu wema mpaka Siku ya Mwisho.
Shukrani zetu za dhati kwa swali lako kuhusu pesa unazopata kwa kufanya hazikidhi mahitaji yako ya msingi. Ndugu yetu mpendwa, mas-ala haya ni mas-ala yaliyofungamana na mtihani ambao tunapatiwa hapa duniani na Allaah Aliyetukuka. Kipato anachopata mtu kinaweza kuwa kingi na huo ni mtihani na kinaweza kuwa kidogo na huo pia ni mtihani. Ndio Nabii Sulaymaan (‘Alayhis Salaam) akasema: “Haya ni katika fadhila zake Mola wangu Mlezi, ili Anijaribu nitashukuru au nitakufuru. Na mwenye kushukuru, kwa hakika, anashukuru kwa manufaa ya nafsi yake; na anaye kufuru, kwa hakika Mola wangu Mlezi ni Mkwasi na Karimu” (an-Naml [27]: 40).
Mafanikio baada ya tawfiki ya Allaah Aliyetukuka hutegemea na juhudi ya mtu mwenyewe. Ikiwa umeweka azma ya kufanya biashara, biashara ni kazi moja ambayo ina baraka
Pindi unapoanza biashara mafanikio yatatokana na wewe kujiweka katika:
Na tunakuombea kwa Allaah Aliyetukuka Akufanyie sahali jambo
Na Allaah Anajua zaidi.
Links
[1] https://www.alhidaaya.com/sw/taxonomy/term/62
[2] https://www.addtoany.com/share#url=https%3A%2F%2Fwww.alhidaaya.com%2Fsw%2Fnode%2F4685&title=Ni%20Mfanyi%20Kazi%20Ambaye%20Kipato%20Chake%20Hakikidhi%20Mahitaji%20Yake%2C%20Afanyeje%3F