Shaykh Al-Islaam Ibn Taymiyyah (Rahimahu Allaah) amesema:
"Na wala si aibu kwa yule mwenye kudhihirisha Madh-hab ya Salaf na akajinasibisha nayo na akajihusisha nayo. Bali inapasa kukubaliana naye kwa makubaliano, kwani hakika Madh-hab ya Salaf haiwi isipokuwa ni Haki."