Shaykh Al-Islaam Ibn Taymiyyah (Rahimahu Allaah) amesema:
"Na hakuna shaka kuwa ladha ya 'Ilmu (elimu ya shariy'ah) ni ladha kuu kuliko zote. Na ni ladha inayobaki baada ya mauti, na yenye kunufaisha Aakhirah, ni ladha ya 'Ilmu kwa Allaah na matendo kwake na iymaan kwake."