Pudini Ya Sago
Vipimo
Sago - ½ kikombe
Maji - 1 ½ kikombe
Maziwa - 2 gilasi
Sukari - ½ kikombe takriban
Hiliki ya unga - ½ kijiko cha chai
Zaafarani roweka katika maji - ½ kikombe cha kahawa
Au tumia flavour ya zaafarani ya tayari - 5 – 7 matone
Lozi, njugu za pistachio - ½ kikombe
Namna Ya Kutayarisha Na Kupika
Bis-swihhah wal-hanaa (kula kwa siha na kufurahika)
Links
[1] https://www.alhidaaya.com/sw/taxonomy/term/43
[2] https://www.addtoany.com/share#url=https%3A%2F%2Fwww.alhidaaya.com%2Fsw%2Fnode%2F7432&title=Pudini%20Ya%20Sago%20%20%28Pakistani%29