Mikate Ya Ufuta Ya Kukandiwa Tui La Nazi Na Samli
Vipimo: (vya kutokea mikate 6)
Unga- 3 Vikombe vikubwa (Mugs)
Tui la nazi zito - 2 ½ (Mugs)
Hamira - 1 Kijiko cha supu
Samli - Vijiko 2 vya supu
Chumvi - Kiasi
Sukari - 1 kijiko cha chai
Yai - 1
Ufuta - Kiasi
Samli Ya kupakia mkate - Kiasi
Namna Ya Kutayarisha Na Kupika
Jinsi Ya Kuchoma Mikate:
Bis-swihhah wal-hanaa (kula kwa siha na kuburudika)
Links
[1] https://www.alhidaaya.com/sw/taxonomy/term/105
[2] https://www.addtoany.com/share#url=https%3A%2F%2Fwww.alhidaaya.com%2Fsw%2Fnode%2F979&title=Mikate%20Ya%20Ufuta%20Ya%20Kukandiwa%20Tui%20La%20Nazi%20Na%20Samli