Supu Ya Koliflawa (Cauliflower)
Vipimo
Koliflawa - 1
Viazi - 3
Vitunguu - 1 – 2
Nyanya - 2
Parsely - 1 msongo (bunch)
Figili mwitu (celery) - 2 miche
Mraba wa supu ya nyama - kidonge 1 (au supu yenyewe kiasi kidogo tu cha kutia ladha lakini hakikisha supu isizidishe kipimo kwa kupunguza maji au maziwa)
Pilipili manga - 1 kijiko cha chai
Chumvi - kiasi
Ndimu - 1 kijiko cha chai
Mafuta - 2 kijiko cha supu
Namna ya kutayarisha na kupika
Links
[1] https://www.alhidaaya.com/sw/taxonomy/term/73
[2] https://www.addtoany.com/share#url=https%3A%2F%2Fwww.alhidaaya.com%2Fsw%2Fnode%2F981&title=Supu%20Ya%20Koliflawa%20%20%28Cauliflower%29