Hukmu Ya Kuchinja (Udhwhiyah) Kwa Mwenye Uwezo
Imaam Ibn Baaz (Rahimahu Allaah)
Amesema Imaam Ibn Baaz (Rahimahu Allaah):
“Udhwhiyah ni Sunnah Muakkadah (Iliyosisitizwa) imewekewa Shariy'ah kwa wanaume na wanawake, na inatosheleza kwa mwanamme na watu wake wa nyumbani na kwa mwanamke na watu wake wa nyumbani.”
[Majmuw’ Al-Fataawaa (18/38)]
Links
[1] http://www.alhidaaya.com
[2] https://www.addtoany.com/share#url=https%3A%2F%2Fwww.alhidaaya.com%2Fsw%2Fnode%2F9330&title=01-Imaam%20Ibn%20Baaz%3A%20Hukmu%20Ya%20Kuchinja%20%28Udhwhiyah%29%20Kwa%20Mwenye%20Uwezo