|
|
User loginPokea Makala |
Zakaah |
Feature
Kikokotoo (Calculator) Cha ZakkahZingatio La WikiSoma Kwa Jina La Mola Wako Aliyekuumba Hapana uficho wowote kwa Muislamu ambaye moyo wake umesalimika na fikira zilizonyooka, kwamba utukufu wa elimu haupingwi, na yaliyopokelewa katika fadhila zake hiyo elimu, katu hayadhibitiki. Allaah (Subhaanahu Wataala) Anasema: {{Je wanalingana wale wanaojua na wale wasiojua?}} [Az-Zumar: 9]
|
|
|