08-Sha'baan
Mafunzo Katika Miezi Ya Hijri: Ya Kutekeleza Na Ya Kujiepusha
Tekeleza Sunnah Ya Kukithirisha Swiyaam Katika Mwezi Wa Sha’baan [2]
Alhidaaya.com [3]
Nabiy (صلى الله عليه وآله وسلم) alikuwa akikithirisha kufunga (Swiyaam) katika mwezi wa Sha’baan kuliko miezi mengineyo:
عَنْ عَائِشَةَ رَضِيَ اَللَّهُ عَنْهَا قَالَتْ: (كَانَ رَسُولُ اَللَّهِ صلى الله عليه وسلم يَصُومُ حَتَّى نَقُولَ لَا يُفْطِرُ، وَيُفْطِرُ حَتَّى نَقُولَ لَا يَصُومُ، وَمَا رَأَيْتُ رَسُولَ اَللَّهِ صلى الله عليه وسلم اِسْتَكْمَلَ صِيَامَ شَهْرٍ قَطُّ إِلَّا رَمَضَانَ، وَمَا رَأَيْتُهُ فِي شَهْرٍ أَكْثَرَ مِنْهُ صِيَامًا فِي شَعْبَانَ) مُتَّفَقٌ عَلَيْهِ
Kutoka kwa ‘Aaishah (رَضِيَ اللَّهُ عَنْهَا) amesema kuwa: “Rasuli wa Allaah (صَلَّى اللهُ عَلَيْهِ وَآلِهِ وَسَلَّمْ) alikuwa akifunga hadi tunasema kuwa hatofungua; na anakula (huwa hafungi) hadi tunasema kuwa hatofunga. Sikuwahi kumuona Rasuli wa Allaah (صَلَّى اللهُ عَلَيْهِ وَآلِهِ وَسَلَّمْ) anafunga mwezi mzima bila kufungua isipokuwa mwezi wa Ramadhwaan tu, na sikumuona anafunga sana katika mwezi wowote zaidi ya Sha’baan.” [Al-Bukhaariy, Muslim]
Na pia,
Endelea... [2]
Alhidaaya.com [3]
Nabiy (Swalla Allaahu ‘alayhi waa alihi wa sallam) ametahadharisha kuhusu bid’ah aliposema:
((أُوصِيكُمْ بِتَقْوى اللَّه، وَالسَّمْعِ وَالطَّاعَةِ وإِنْ تَأَمَّر عَلَيْكُمْ عَبْدٌ حبشيٌ، وَأَنَّهُ مَنْ يَعِشْ مِنْكُمْ فَسَيرى اخْتِلافاً كثِيرا. فَعَلَيْكُمْ بسُنَّتي وَسُنَّةِ الْخُلُفَاءِ الرَّاشِدِينَ الْمَهْدِيِّينَ، عضُّوا عَلَيْهَا بالنَّواجِذِ، وإِيَّاكُمْ ومُحْدثَاتِ الأُمُورِ فَإِنَّ كُلَ بِدْعَةٍ ضلالَةٌ)) رواه أبو داود، والترمذِي وقال حديث حسن صحيح
((Nakuusieni kumcha Allaah, usikivu na twaa hata ikiwa kiongozi wenu (Au atakayekuamrishen) ni Mtumwa wa Habash. Mtakaoishi miongoni mwenu mtaona ikhtilafu nyingi. Kwa hiyo shikamaneni na Sunnah zangu na Sunnah za Makhalifa waliongoka baada yangu. Ziumeni kwa magego (zikamateni kwa nguvu wala msiziache). Na tahadharini na mambo ya uzushi kwani kila bid'ah ni upotofu)) [Abu Daawuwd, At-Trimidhiy kasema Hadiyth Hasan Swahiyh]
Na katika Riwaayah nyingine:
((إن خير الكلام كلام الله وخير الهدي هدي محمد صلَّى اللَّهُ عليْهِ وسلَّمَ وشر الأمور محدثاتها وكل محدثة بدعة وكل بدعة ضلالة وكل ضلالة في النار)) أخرجه مسلم في صحيحه
Maneno bora ni kitabu cha Allaah (Qur-aan) na Uongofu mbora kabisa ni uongofu wa Muhammad (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) na jambo la shari kabisa ni uzushi, na kila jambo jipya (katika Dini) ni bid'ah (uzushi) na kila bid'ah ni upotofu, na kila upotofu ni motoni. [Muslim katika Swahiyh yake]
Swali:
“Je, bid’ah, hata bid’ah hiyo iwe ndogo vipi ni miongoni mwa madhambi makubwa? Au kuna ufafanuzi bayana wa hili?”
Jibu:
Endelea.... [4]
Jitayarishe Kujielimisha: Fataawaa Za Ramadhwaan Na Swawm [5]
Imaam Ibn 'Uthaymiyn: Hukmu Ya Kisimamo Cha Usiku Wa Nusu Sha’baan [13]
Shaykh Fawzaan - Hakujasihi Chochote Kuhusu Nusu Sha'baan [14]
Shaykh Fawzaaan: Je, Laylatul-Qadr Inatokea Katika Nusu Sha'baan? [15]
Wadhakkir:
Links
[1] https://www.alhidaaya.com/sw/taxonomy/term/287
[2] http://www.alhidaaya.com/sw/node/10241
[3] http://www.alhidaaya.com/sw/
[4] http://www.alhidaaya.com/sw/node/6698
[5] http://www.alhidaaya.com/sw/node/11015
[6] http://www.alhidaaya.com/sw/node/9108
[7] http://www.alhidaaya.com/sw/node/8354
[8] http://www.alhidaaya.com/sw/node/7251
[9] http://www.alhidaaya.com/sw/node/7252
[10] http://www.alhidaaya.com/sw/node/9889
[11] http://www.alhidaaya.com/sw/node/7254
[12] http://www.alhidaaya.com/sw/node/9080
[13] http://www.alhidaaya.com/sw/node/9892
[14] http://www.alhidaaya.com/sw/node/6814
[15] http://www.alhidaaya.com/sw/node/9069
[16] http://www.alhidaaya.com/sw/node/9877
[17] http://www.alhidaaya.com/sw/node/7253
[18] http://www.alhidaaya.com/sw/node/9111
[19] http://www.alhidaaya.com/sw/node/9061
[20] http://www.alhidaaya.com/sw/node/560
[21] http://www.alhidaaya.com/sw/node/132
[22] http://www.alhidaaya.com/sw/node/4278
[23] http://www.alhidaaya.com/sw/node/5457
[24] http://www.alhidaaya.com/sw/node/9735
[25] http://www.alhidaaya.com/sw/node/1813
[26] http://www.alhidaaya.com/sw/node/9070
[27] http://www.alhidaaya.com/sw/node/6813
[28] https://www.addtoany.com/share#url=https%3A%2F%2Fwww.alhidaaya.com%2Fsw%2Fnode%2F11089&title=08-Mwezi%20Wa%20Sha%27baan%3A%20Mafunzo%20Katika%20Miezi%20Ya%20Hijri%3A%20Ya%20Kutekeleza%20Na%20Ya%20Kujiepusha%20