Hakujasihi Chochote Kuhusu Nusu Ya Sha'baan
Shaykh Swaalih bin Fawzaan Al-Fawzaan (Hafidhwahu Allaah)
Alhidaaya.com [2]
SWALI:
Hadiyth zilizopokelewa kuhusu fadhila za usiku wa Nusu Sha´baan ni Swahiyh?
JIBU:
Hapana. Si Swahiyh.
Hakukusihi kitu juu ya usiku wa Nusu Sha´baan wala siku ya Nusu Sha´baan.
Mtu asisimame usiku wa Nusu Sha´baan, bi maana mtu asikhusishe kusimama usiku.
Ama kuhusu yule aliyekuwa akidumu kwa kusimama tokea mwanzo asimame (kuswali) usiku wa Nusu Sha´baan kama siku zingine.
Ama kusema aikhusishe kwa kusimama (kuswali Swalaah ya usiku), hii ni bid´ah. Au akafunga siku ya kumi na tano ya mwezi wa Sha´baan, hii ni bid´ah. Isipokuwa yule aliyekutwa akifunga Swawm zake kama kwa mfano Swawm ya masiku meupe, afunge katika Sha´baan na siku zingine.
Links
[1] https://www.alhidaaya.com/sw/taxonomy/term/208
[2] http://www.alhidaaya.com/
[3] http://www.alfawzan.af.org.sa/ar/node/14774
[4] https://www.addtoany.com/share#url=https%3A%2F%2Fwww.alhidaaya.com%2Fsw%2Fnode%2F6814&title=Shaykh%20Fawzaan%3A%20Sha%27baan%3A%20Hakujasihi%20Chochote%20Kuhusu%20Nusu%20Ya%20Sha%27baan