Cheuro
Vipimo
Pawa (pepeta) - 1 Kg
Dengu za vipande za manjano - 1/2 Kg
Karanga (njugu) zilokiwisha kaangwa - ¼ Kg
Korosho - ¼ Kg
Zabibu kavu - 1 Kikombe
Chips (Crisps plain) - 2 Paketi kubwa
Bizari ya manjano - 1 kijiko cha chai
Sukari - ¼ kikombe
Chumvi - Kiasi
Ndimu ya unga - 2 vijiko vya chai
Pilipili ya unga - 1 kijiko cha supu
Majani ya mchuzi makavu (curry leaves)(yachambue) - Misongo miwili (bunch)
Mafuta - 2 vijiko vya supu
Mafute mengine ya kukaangia dengu na pepeta katika karai - kiasi
Namna Ya Kutayarisha Na Kupika
Links
[1] https://www.alhidaaya.com/sw/taxonomy/term/46
[2] https://www.addtoany.com/share#url=https%3A%2F%2Fwww.alhidaaya.com%2Fsw%2Fnode%2F2446&title=Cheuro%20