Nasiha Ya Ijumaa
Madhara Ya Ghiybah (Kusengenya) 4-Kuharamishwa Kwake Na Adhabu Zake Katika Quraan
Anasema Allaah (Subhaanahu wa Ta'ala):
((وَلاَ تَقْفُ مَا لَيْسَ لَكَ بِهِ عِلْمٌ إِنَّ السَّمْعَ وَالْبَصَرَ وَالْفُؤَادَ كُلُّ أُولئِكَ كَانَ عَنْهُ مَسْؤُولاً))
((Wala usifuate (ukipita ukisema au kuyafanya) usiyo na ilimu (ujuzi) nayo. Hakika masikio, na macho, na moyo hivyo vyote vitaulizwa)) [Al-Israa: 36]
Na Anasema Allaah (Subhaanahu wa Ta'ala):
(( وَلاَ يَغْتَب بَّعْضُكُم بَعْضًا أَيُحِبُّ أَحَدُكُمْ أَن يَأْكُلَ لَحْمَ أَخِيهِ مَيْتًا فَكَرِهْتُمُوهُ وَاتَّقُوا اللَّهَ إِنَّ اللَّهَ تَوَّابٌ رَّحِيمٌ))
((Wala msisengenyane nyinyi kwa nyinyi. Je! Yupo katika nyinyi anayependa kuila nyama ya nduguye aliyekufa? Mnalichukia
Ibn 'Abbaas (Radhiya Allaahu 'anhuma) amesema: Allaah (Subhaanahu wa Ta'ala) Ameharamisha Muumimi kumsengenya mwenziwe
Mpya - Makala
- Misingi Minne Muhimu Katika Uislamu -- 'Aqiydah-Tawhiyd
- 'Aqiydah Yetu Hivi Leo -- 'Aqiydah-Tawhiyd
- Kufuru Na Aina Zake -- 'Aqiydah-Tawhiyd
- Kumtafuta Mungu -- 'Aqiydah-Tawhiyd
Sikiliza Mawaidha Na Qur-aan
Mpya - Video
- SAALIM BAARAHIYAAN - Je, Muislam Anapaswa Kufuata Madhehebu? -- Saalim Baarahiyaan
- NAASWIR KHAMIYS - Tafsiyr Surat 'Abasa -- Naaswir Khamiys
Mpya - Maswali
- Kumwita Shekhe Nyumbani Asome Khitma Inafaa? -- Bid'ah - Uzushi
- Swalah Maaulum Ya Jumatano Ya Mwisho Mfungo Tano (Swafar) -- Bid'ah - Uzushi
- Kampenda Msichana Na Kakataliwa Kumuoa Kwa Sababu Anasemekana Kadanganya Kabila Lake, Nao Wanaangalia Kabila -- Nikaah na Shariyah Zake
Mpya Mapishi



-
Kheer - Pudini Ya Mchele (Pakistani) -- Kitindamlo
-
Viazi Vya Jibini Na Maziwa -- Mboga
-
Buns Za Nyama Aina Ya 2 -- Mikate
