Nasiha Ya Ijumaa
Njia 10 Za Kuukaribisha Vizuri Mwezi Mtukufu Wa Ramadhaan
Inatupasa tumshukuru Allaah (Subhaanahu wa Ta'ala) kwa kutupa umri tukiwa katika Uislamu na Iymaan hadi kutufikisha tena kukaribia Mwezi Mtukufu wa Ramadhaan. Na hii ni fursa nyingine Anayotupa Allaah Ta’ala katika maisha yetu kushuhudia mwezi huu na kupata fadhila zake.
Anasema Allaah (Subhaanahu wa Ta'ala):
((يَا أَيُّهَا الَّذِينَ آمَنُواْ كُتِبَ عَلَيْكُمُ الصِّيَامُ كَمَا كُتِبَ عَلَى الَّذِينَ مِن قَبْلِكُمْ لَعَلَّكُمْ تَتَّقُونَ)) (( أَيَّامًا مَّعْدُودَاتٍ ...
((Enyi mlioamini! Mmefaradhishiwa Swawm,
Mpya - Makala
- Vazi Lipi Lililo Bora Mbele Ya Allaah? -- Familia-Wanawake
- Utulivu Wa Nafsi (Sakiynatun-Nafs) - 3 -- Taqwa - Tazkiyyah
- Kudura Na Imani -- Mashairi
- Iltiqaa Saakinaan- Ahkaam Za Madd - Maddut-Twabiy'iy -- Hukmu Za Tajwiyd
- Zingatio La Wiki: Wala Msichupe Mipaka -- Taqwa - Tazkiyyah
- Vunja Jungu: Wamemfanya Mwenyeezi Mungu Ni Wa Ramadhaan Tu -- Uzushi na Maovu
Sikiliza Mawaidha Na Qur-aan
Mpya - Maswali
OMBI JIPYA KUHUSU MASWALI YENU
KWANZA: Tunawaomba muwe na subira baada ya kutuma Maswali yenu, kwani maswali mengi mno yanamiminika humu na wengine wanatuma maswali yao zaidi ya mara tatu kukumbusha. Tunaomba mtambue kwamba maswali yanajibiwa kwa zamu ili kufanya haki katika kuyajibu. PILI: Wanaotuma Maswali ya Mirathi, tunawaomba waweke maelezo kamili kuhusu warithi waliobakia. Watajwe wote wanaohusika kupata urithi ili maswali yaweze kujibiwa ipasavyo bila ya kukurudishieni barua kukuulizeni. TATU: Maswali yawekwe maudhui iliyo wazi ili iwe wepesi kufuatilia na kila swali litumwe katika barua ya pekee.
Tunatumai kupata ushirikiano wenu mwema ili mtufanyie wepesi hizi kazi ambazo ni nyingi sana khaswa za Maswali na watendaji ni wachache sana.
Jazaakum Allaahu Khayra.
- Hadiyth Katika Swahiyh Al-Bukhaariyiy Zote Ni Swahiyh? -- Sunnah-Hadiyth
- Anaweza Kuoa Kisiri Kwa Sababu Mke Wa Mwanzo Kasema Atajiua Akioa? -- Nikaah na Shariyah Zake
Mpya Mapishi
-
Sharbati Ya Maziwa Na Lozi -- Juisi
-
Chatine Ya Embe Mbichi -- Saladi Na Sosi
-
Mchuzi Wa Mumunye (Zuchini) Na Viazi -- Michuzi
-
Dehii Baree - Bajia Katika Mtindi (Pakistani) -- Vitafunio
